Afisa wa zamani wa shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) Chuck Blazer amekiri kuchukua rushwa kwenye uchaguzi wa Afrika Kusini kuandaa kombe la dunia 2010. Raia huyo wa Marekani ameyasema hayo na pia aelezea jinsi rushwa hizo walivyoshiriakiana na uongozi wa juu, Chuck Blazer na wenzake wanne wanashikiliwa baada ya kukutwa na hatia za kuchukua rushwa. Kwenye sakata hili ambalo maafisa 14 tayari wanachunguzwa pamoja na Sepp Blatter ambaye ametangaza kujiuzulu.Sakata hili la rushwa ambalo inakadiriwa kiasi cha dola za kimarekani 150m zilichukuliwa kwenye miaka 24, Chuck Blazer ambaye alipatikana na hatia baada ya kesi yake kusikilizwa huko Marekani.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment