|
mchezaji
wa timu ya LUDEWA kijijini akimiliki mpira huku mpinzani wake wa
timu ya mpangwa akiunyemelea wakati wa fainali ya kombe la diwani wa
Ludewa Monica Mchilo |
|
wachezasji wa timu ya kilimahewa na vijana stars wakivizia mpira |
|
ludewa kijijini wakionyesha uwezo wao katika soka |
|
wachezaji wa timu ya kilimahewa wakikabana wenyewe |
|
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiingia uwanjani |
|
goli la pekee la ushindi la timu ya ludewa kijijini |
|
Filikunjombe akiwahutubia wachezaji Ludewa |
|
diwani monica mchilo akifuatilia mchezo |
MASHINDANO ya kombe la diwani wa kata
ya Ludewa Monica Mchilo yamemalizika kwa timu ya Ludewa Kijijini kanda ya kati kuibuka
bingwa baada ya kuifunga timu ya Kilimahewa kwa goli 1-0
katika mchezo huo wa fainali
uliopigwa kwenye uwanja wa Ludewa mjini na kushuhudiwa na mbunge wa
jimbo la Ludewa timu hiyo ya vijana stars mbali ya kupata goli hilo
kipindi cha pili bado ilijikuta na mtihani mgumu zaidi kufika katika
lango la mpinzani wake kutokana na kandanda safi ambalo wachezaji
wa timu ya Kilimahe wawaliweze kuonyesha.
Makosa ya kiufundi yaliyofanywa na
mabeki wa timu ya Mpangwa ndio yaliyoweza kuifanya Ludewa kijijini
kujipatia goli hilo lililodumu hadi mwisho wa mchezo
katika mashindano hayo bingwa
aliibuka na pesa taslimu kiasi cha Tsh 200,000 wakati mshindi wa
pili akiondoka na kiasi cha Tsh 150,000 na mshindi wa tatu akipata
kifuta jasho cha Tsh 100,000 .
Ligihiyo pia ilihusisha vitongoji vya Ludewa mjini Ikiwa ni pamoja na mkondachi,kilimahewa,majengo,ibani,kanisa A,kanisa B,kiyombo,kimbila,ludewa kijijini kanda ya juu na kati pamoja na kimbilA.
0 comments:
Post a Comment