LIGI YA MITAA YA KATA YA LUDEWA YAENDELEA KUTIMUA VUMBI.

Ligi mitaa ya mpira wa miguu katika kata ya Ludewa imeendelea kutimua vumbi hukuikiwa na ushindani mkali ambaohaujawahi kutokea kwa kila mtaa umekuja na vipaji vipya hali ambayo mpaka sasa kwa wataalamu wa kupanga matokeo wanashindwa kutabiri nani anatibuka kidedea.Ligi hiyo imeanzishwa na diwaniwa kata ya Ludewa Mh.Monica Mchilo ambapoa ameweza kugawa vifaa vya michezo kwa kila mtaa vikiwa ni jezi na mpira mmoja na zawadi kwa washindi ikiwa mshindi wa kwanza ataibuka na kiasi cha shilingi laki mbili wakati mshindi wa pili anatapata shilingi laki moja na nusu na watatu laki moja.Akifungua mashindano hayo hivi karibuni Mh.Mchilo alisema lengo la mashindano hayo ni kuibua vipaji kwani ameona afanye hivyo kutokana na timu nyingi za mji wa Ludewa zimekuwa zikisaka vipaji kutoka wilaya na kata jirani pale zinapotakiwa kushiriki mashindano makubwa katika ngazi ya mkoa na Taifa wakati kata hiyo inavipaji vya kutosha.Mh.Mchilo aliwataka wachezaji kujenga undugu katika mashindano hayo na kuondoa tofauti zao kwa siku zote michezo ni furaha na amani.Katika mzunguko wa kwanza wamashindano hayo timu zilizofuzu ni ,mtaa wa Kilimahewa,Kiyombo,Kanisa A na Kanisa B pia mtaa wa Mkondachi na kijijini kanda ya kati pia ligi hiyo inatarajia kuendelea leo tarehe 5 mei 2015katika viwanja vya Ludewa mjiniikiwa ni mzunguko wa pili.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: