Hawa watoto wameamua kuishi nyumba mojakama wapenzi kabisa HUKO SHINYANGA

Kama ulipitwa na hii Hekaheka toka Shinyanga inahusu vijana wawili, wa kike ana umri wa miaka 13 na wa kiume ana umri wa miaka 16 wameishi nyumba moja kama wapenzi.. wazazi hawakujua kinachoendelea.Kijana wa kiume amesema msichana alimfuata saa nne usiku akamwambia kwamba amefukuzwa kwao, yeye akamrudisha nyumbani kwao.. baadae akasikia kwamba anatafutwa na wazazi wa msichana huyo.Msichana amekubali kwamba nikweli alitoroka akaenda kuishi na mvulana huyo.Wazazi wamesema mtoto wao alitoroka usiku wakamtafuta lakini hawakumpata, siku ya pili walikuta nguo zimefichwa.. ikapita siku mbili ndio wakamkuta msichana huyo kwamama yake.Wazazi wanasema walisikia toka kwa watu kwamba walimuona huyo kijana akiwa ameongozana na kijana huyo wa kiume.Msichana aliyetoroka kwao bado ni mwanafunzi lakini mvulana hasomi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: