FILIKUNJOMBE AENDELEA KUWA KIVUTIO KWA WANANCHI WA LUDEWA

licha ya kuwa na ulinzi wa mgambo wananchi humzuia asiondokeMbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amendelea kuwa kivutio kwa wananchi wake pale anapopita katika vijiji mbalimbali na kutoa misaa hali ambayo huwa vigumu kwake anapofunga mikutano yake wananchi humtaka asiondoke iliwabaki wakiongea naye.Hali hiyo imejitokeza katika kataya Mawengi na nyingine ambapo wazee wa vijiji huingiliakati kwa kuongea na wananchi ili wamruhusu aendelee na safari zake hata kama wanampenda kupita kiasi cha kuzuia gari ili abaki waendelee kuzungumza naye. @habari ludewa blog
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: