FILIKUNJOMBE NA NDOTO ZA KUJENGA UWANJA WA KISASA MPIRA WA MIGUU LUDEWA



Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo filikunjombe ametoa ahadi ya ujenzi wa uwanja wa kisasa Wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kutokana na mkoa huo wa Njombe kutokuwana uwanja wa michezo.
Hayo aliyasema sikuya hitimisho ya mashindano ya Diwani CUP kata ya LUDEWA yaliyoandaliwana na Diwani Wa kata Hiyo Bi.MONICA MCHIRO ambayo yalishirikisha vitongoji mbalimbali ya kata hiyo ya Ludewa mjini.
Pia mbunge huyo aliongeza kuwa anakumbuka ahadi ya vilabu vikubwa nchini kama simba na yanga kujakucheza LUDEWA lakini timu hizo zinashindwakutokana na kuwa na miundombinu mibovu ya uwanja wa kuchezea pamoja na barabara. 
  
Akizungumza na wachezaji hao  mbunge wa  Ludewa Deo  Filikunjombe alisema  lengo  kuona  timu  kubwa za  Yanga ama  Simba  wanakuja  kucheza  Ludewa  japo changamoto kubwa ni kukosekana kwa  uwanja  wa uhakika na  kuahidi  kujenga uwanja  huo  iwapo ataendelea  kuwa  mbunge  wa Ludewa.


Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: