5MTOTO MCHANGA AUAWA KINYAMA HUKO TABORA...MWILI WAOKOTWA BARABARANI

Mtoto mchanga wa kiume wa siku tatu katika mtaa wa Masanga Wilaya ya Igunga ameokotwa akiwa amekatwa viungo vyake na watu wasiojulikana.Mwenyekiti wa Mtaa wa MasangaJulius Kitundualisema mtoto huyo aliokotwa na wasamaria wema pembezonimwa barabara ya lami.“Kwa kweli kitendo kama hiki kimetusikitisha na watu waliofanya kitendo hicho wanapaswa kusakwa kwa nguvu zote na kufikishwa kwenye vyombo husika”Kitundu.Mwenyekiti huyo alitoa wito kwawananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi na kuwaomba watoe ushirikiano kwa jeshi la Polisi katika kuwasaka wahusika.Baadhi ya wananchi wamelaani kitendo hicho cha kinyama na kusema wataanzisha msako mkali ili kuhakikisha waliohusika wanakamatwa na mama aliyejifungua anashikiliwa.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: