Wakati dunia ikijiandaa kufanya kilele cha siku ya wanawake marchi nane mwakahuu wanawake wilayani ludewa katika mkoa wa njombe hapo Jana marchi 6 mwakahuu walifanya maandamano ya amani mjini ludewa pamoja na maombi katika kanisa anglikan ludewa mjini kupinga mauaji ya watu wenyeulemavu wa ngozi albino pamoja name kuombea mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya hapa nchini.
Akizungumza mapema march 6 mwaka huu katika MAOMBI hayo ya kuliombea taifa dhidi ya mauaji hayo ya Albino mchungaji Geofrey mtulo wa kanisa Anglikan Ludewa mjini alisema kuwa wanawake wa madhehebu mbalimbali kote wilayani ludewa waliamua kukutanapamoja katika kanisa hilo kwa lengo kuu la kupinga mauaji ya Albino pamoja na kufanya maombi juu ya upatikanaji wa katiba mpya kwa kumuomba mwenyezi mungu kuingilia kati mchakato huo ambao unaumuhimu na faida kubwa kwa taifa la Tanzania.
Lwezile in mchungaji wa kanisa LA KKT ludewa mjini ambae alisema Kuwait siku yawanawake duniani inaumuhimu mkubwa hapa Tanzania kwakuwa kwasasa watanzania wanamambo mengiambayo yanalitazama taifa ikiwemo uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika miezi michache ijayo huku mwakilishi kutoka kanisa katoriki ludewa mjini aliyefahamika kwa jina LA komba aliwataka wanawake kote nchini kukemea janga LA mauaji ya albino kwakumuomba mwenyezi mungu.
Kwaupande Wao wanawake waliozungumza na mtandao huu walisemakuwa maandamano hayoo ni maandalizi ya kuelekea kilele cha sikuyao ambapo dunia nzima inaadhimisha March nane mwakahuu.
Waliongezakuwa wao kamawanawake wanakerwa natabia ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakiwaua albino bila hatia yeyote.
Home
Uncategories
WANAWAKE WILAYANI LUDEWA KATIKA MKOA WA NJOMBE WAFANYA MAOMBI KULAANI MAUAJI YA ALBINO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment