Juma Nature: Nikitaka Ubunge Temeke siukosi

Mwanamuziki wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Nature, amesema kuwa anaamini kuwa akitaka kugombea ubunge wa Jimbo la Temeke, anaupata kiurahisi kutokana na baadhi ya viongozi kumtaka kugombea mwaka huu. Akihojiwa amesema kuwa baada ya kufuatwa sana ameona kuwa uchaguzi huu upite kwanza na kuwaachia akiwa Prof. Jay wachukue nafasi hizo kwanza lakini baada ya miaka kadhaa watu wasishangae kumuona bungeni. Ameongeza kuwa akiwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, ataanza na kushughulikia miundombinu ya barabara pamoja na ujenzi holela ambao umekuwa ukisababisha mafuriko ya mara kwa mara.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: