AJALI MBAYA PIKIPIKI ZAGONGANA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO MTAA WA KILIMAHEWA LUDEWA MJINI

Ajali kubwa imetokea maeneo ya kilimahewa Ludewa mjini na kusababisha kipo cha mpendwa wetu Luka Mhagama maarufu kwa jina la Danganya jana jioni baada ya pikipiki mbili kugongana uso kwa uso eneo hili. Marehemu Danganya aliwahi kuwa mwenyekiti wa kitongoji cha kilamahewa kabla ya hapo alikuwa mlinzi wa shirikala la IDYDC katika ofisi zilizoko Ludewa mjini mpaka sana alikuwa anajishughurisha na miradi yake ya ufugaji na mashine za kusaga katika mtaa huo. Endelea kutembelea mtandao wetu kwa habari zaidi
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: