Mwanasheria mkuu wa CHADEMA,Tundu Lissu atangaza rasmi mbuge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuvuliwa rasmi uanachama, Akifafanua jambo hilo Tundu Lissu amesema iwapo mwanachama atafungua kesi dhidi ya chama na iwapo atashidwa atakuwa amejiondoa mwenyewe.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment