Nyota wa muziki wa bongo flava nchini Tanzania, Damond Platnumz ametwaa tuzo nyingine kutoka nchini Uganda ijulikanayo kama HiPipo Music Awards katika kipengele cha Wimbo Bora wa Afrika Mashariki jana kwa tiketi ya wimbo wake ‘Number One.
Diamond amewapiku wasanii wakubwa Afrika Mashariki akiwepo rafiki yake Ommy Dimpoz, Bebe Cool, Jaguar, Eddy Kenzo, Sauti Sol, Knowless na Urbun Boys.
Aidha tuzo za HiPipo zimekuwa neema kwa Bebe Cool kwani amefanikiwa kutwaa tuzo 5 peke yake hiyo ikionesha ni jinsi gani alivyo bora nchini humo akifuatiwa na Radio na Weasel waliotwaa tuzo 4.
Bebe Cool ametwaa tuzo katika kipengele cha Artist of the Year, Best Male Artist, Best Concert Perfomance, Video of the Year na Best Reggae Song.
Tazama orodha kamili hapa…..
1 Artist Of The Year – Bebe Cool
2 Best Male Artist – Bebe Cool
3 Best Female Artist – Sheebah Karungi
4 Best Duo Group Artist – Radio And Weasel
5 Best Male Breakthrough Artist – Ziza Bafana
6 Best Female Breakthrough Artist – Spice Diana
7 Best Use of Social Media by Artist – Eddy Kenzo
8 Best Concert Performance – Best Of Bebe Cool
9 Best Artist In Diaspora – Frank Rock
10 Best Young/Teen Artist – Aba Marcus Mayanja – Trex
11 Best DJ – DJ Shiru
12 Album Of The Year – Amaaso Ntunga By Radio And Weasel
13 Video Of The Year – Love You Everyday – Bebe Cool
14 Song Of The Year – Neera – Radio And Weasel
15 East Africa Super Hit – Number One – Diamond Platnumz
16 Best Audio Producer – Diggy Baur
17 Best Video Producer – Jah Alive (Frank)
18 Best Song Writer – Jamie Culture
19 Best Hip Hop Song – No Holding Back – Navio
20 Best Rnb Song – Neera – Radio And Weasel
21 Best Ragga Dancehall Song – Pomini Pomini – Ziza Bafana
22 Best Reggae Song – Love You Everyday – Bebe Cool
23 Best Religious Song – List Ya Mukama – Julie Mutesasira
24 Best Band Song – Akantu – David Lutalo
25 Best Kadongo Kamu Song – Kuzaala Kujagaana – Irene Namatovu
26 Best Zouk Song – Gyobela – Irene Ntale
27 Best Afrobeat Song – Mulirwana – King Saha
28 Best Afropop Song – Go Down Low – Pallaso And Sheebah
29 Best Western Region Song – Kaana
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment