Bony awa mrithi wa Drogba Ivory Coast

Baada ya kutupia goli mbili kwenye ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Algeria siku ya Jumamosi inaonyesha wazi kuwa Ivory Coast inaweza kumsahau mshambuliaji wake ambaye alistaafu Didier Drogba. Ivory Coast wanashiriki kwa mara ya kwanza mashindano makubwa bila kuwepo nahodha wao na mshambuliaji wake tegemeo wa timu hiyo Didier Drogba. Bony akimiliki mpira akiwa karibu na Didier Drogba Kocha wa Ivory Coast kwa sasa Herve Renard amesema kumkosa Drogba ni pengo kubwa kwa timu ila mbadala wake ambaye ni Bony anaonyesha kuliziba vizuri pengo huku akimsifia kwa kiwango kizuri alichoonyesha kwenye mechi dhidi ya Algeria.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: