Wivu wa Mapenzi wasababisha mwanamke kukata nyeti za mumewe mara mbili

Katika hali ya kunogewa na penzi la nyumba ndogo, Bw Fan Lung ambaye ni baba wa watoto 5 aliowapata pamoja na mkewe Bi Fengi, Baba huyo alipata masaibu ya kukatwa nyeti zake na mkewe baada ya mkewe Bi. Feng kukuta barua pepe kwenye simu yake ikielekezwa kwa kimada
Kutokana na kuwa na wivu wa mapenzi kwa mumewe huyo baada ya mumewe kupelekwa Hospitalini Mama huyo mwenye hasira aliingia kwenye chumba alicholazwa mumewe na kukata tena nyeti kwa mara ya pili na kuzitupa nje.
Maafisa wa polisi na madaktari walipojaribu kuzisaka nyeti hizo walikuta zilishaliwa na mbwa na hinyo kuwapa wakati mgumu wauguzi hao, Kimada wa Bw Fan Lung alipofika hospitalini hapo na kuulizwa alijibu kuwa alikuwa kwenye hatua nzuri kuoana na pia watoto watano wanatosha hata kama nyeti zake zisipofanya kazi tena.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: