watanzania wapatao elifu 30 wanatarajia kunufaika na mradi wa chuma na liganga
Serikali kupitia wizara ya viwanda na biashara imesema kuwa inatarajia kutoa nafasi za ajira kwa watanzania wapatao elifu 30 kwenye migodi ya uzalishaji madini ya chuma na makaa ya mawe kwenye miradi ya mchuchuma na liganga iliyopo wilaya ya ludewa mkoani njombe.
Kauli hiyo ilitolewa na waziri wa viwanda na biashara drAbdala Kigodaalipokuwa akiongea na umoja wa wafanyabishara wa mkoa wa njombeTCCIAikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku mbili ya kutembelea migodi hiyo ya makaa ya mawe na chuma cha liganga iliyopo wilayani hapa.
Aidhadr Kigodaalisema kuwa kwenye miradi hiyo serikali inampango wa kuajiri wananjombe na watanzania wapatao elfu 30 huku akisema kuwa mradi huo unatarajiwa kuanza rasmi kufanya kazi siku za hivi karibuni.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment