Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Sunday Osemwekhe, amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumuua kaka yake chanzo ikiwa ni shutuma za kumuibia supu.
Inasemekana kuwa ugomvi huo ulienda mbali ambapo Sunday, alichukua panga na kumjeruhi kaka yake sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia kupoteza maisha njiani alipokuwa akipelekwa hospitali kwa matibabu.
Uchunguzi wa polisi Nigeria, umeonesha kuwa mtuhumiwa alishikwa na hasira baada ya kuona supu yake aliyoiacha imepungua na kuanzisha mzozo na kuanza kumshambulia kaka yake
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment