Moses Iyobo: Mapenzi hayaangalii umri

Dansa wa mwanamuziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Naseeb Abdul “Diamond”, Moses Iyobo, amesema umri haumnyimi raha ya kuwa na mpenzi wake ambaye ni msanii wa filamu nchini Aunty Ezekiel, kutokana na kuzidiwa umri.
Amesema watu wengi wamekuwa wakihoji kuzidiwa kwake umri na mpenzi wake kitu ambacho kimemshangaza kutokana na kuona ni jambo la kawaida sana.
Amesema kuwa anategemea kuwa na familia na msanii huyo na kukanusha kuwa na mwanamke mwingine na kuongeza kuwa mwanamke huyo ni mzazi mwenzie.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: