Takriban watu 170 wanaripotiwa kuaga dunia na wengine 100,000 wamelazimika kuhama makwao kwenye mafuriko ambayo yameikumba Malawi kwa karibu mwezi mmoja sasa. Maafuriko hayo yamesababishwa na upepo mkali pamoja na mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni.
Mapema wiki hii rais Peter Mutharika alitangaza theluthi moja ya nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari na kuomba msaada wa kimataifa.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment