MTINDO WA MAISHA, MAZINGIRA KIDHIBITI CHA SARATANI
Mtindo wa maisha na mazingira umaetajwa kuwa ni njia moja wapo inayoweza kusaidia kudhibiti magonjwa ya saratani ya ngozi na mapafu.
Utafiti uliofanya na wanasayansi kutoka nchini Marekani kupitia uchunguzi wa aina 31 za saratani umebaini kuwa theluthi mbili zilizosababishwa na mchanganyiko wa kila seri kuna hatari ya mabadiliko yanayoweza kusababisha magonjwa ya salatani.
Wanasayansi hao wamesema kuimarisha mtindo wa maisha na mazingira ni kidhibiti saidizi cha magonjwa hayo wakati huo huo utafiti mpya uliofanywa na wanasayansi hao umebaini kuwa aina nyingi za ugonjwa wa saratani ni matokeo ya bahati mbaya kuliko maelezo ya vinasaba, mazingira na mtindo wa maisha hali inayopelekea kuwepo kwa ugonjwa wa saratani.
0 comments:
Post a Comment