Ukaribu wa Justin Bieber,Hailey Baldwin wampa wakati mgumu Selena Gomez

Jivunie kuwa mwana ludewa

GOMES
Licha ya kila mmoja kuridhika na kuvunjika kwa mapenzi yao lakini bado Ex Girlfriend wa mwanamuziki Nyota Justin  Bieber anaonekana kuumia zaidi na kufikia hatua ya kushindwa kuendelea na mambo yake.

Bieber ameonekana kuzidi kumuumiza Selena Gomez baada ya kuonekana akitumia muda mwingi na mwanadada Hailey Baldwin na kumfanya Ex wake kukosa raha wakati wote.
Ukweli wa mambo ni kwamba licha ya Selena kushindwa kumtamtamkia Bieber kuwa bado anampenda lakini inasemekana ameonekana kuumizwa na kuachana kwao kwa kiasi kikubwa.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kimeeleza kuwa pamoja na Selena kupanga kwenda kupumzika katika mji wa Texas na familia yake lakini amekua akiwaza ni jinsi gani atafurahia kipindi hiki cha sikukuu kutokana na kuachana kwao huku mwenzake huyo akionekana kutojali na kuwa ‘Busy’na Hailey.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: