TANZANIA PRISONS NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE

TANZANIA PRISONS NA COASTAL UNION HAKUNA MBABE mtanange wa ligi kuu bara mzunguko wa nane umemalizika bila mbabe ndani ya dimba sokoine jijine mbeya. Mtanange huo wa aina yake uliwakutanisha wenyeji tanzania prisons halimaarufu kama wajelajela dhidi ya waja leo waondoka leo coastal union ya tanga. Katika dakika tisin za mchezo huo uliotawaliwa na mashambiliz ya hapa na pale ila kutokana na hali mvua na kusababisa uwanja kujaaa maji timu hizo kushindwa kucheza vizur. Kwa upande wa makocha wa timu zote mbili wameridhishwa na kiwango cha timu zao richa ya uwanja wa sokoine kuwa na utelezi kutoka na mvua kubwa iliyonyesha mapema leo hii.. Kesho katika uwanja wa sokoine jijini hapa ni mtanange wa kukata na shoka kati ya watoto wa jiji mbeya city dhidi ya wanakuchele ndada fc kutoka mtwara.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: