WENGER AFIKISHA USHINDI WA 600 AKIWA NA ARSENAL

Kocha Arsene Wenger amefikisha ushindi mara 600 akiwa na Arsenal. Ushindi wa 600 ni ule Arsenal ilipoifunga QPR kwa mabao 2-1 jana. Lakini ushindi huo ni wa 400 kwa mechi za Ligi kuu England. Hivyo, Wenger ameshinda mara 600 akiwa na Arsenal, lakini kati ya hizo, mara 400 ni mechi za Ligi Kuu England. Wenger alijiunga na Arsenal mwaka 1996 akitokea Grampus Eight ya Japan ambayo alijiunga nayo akitokea AS Monaco ya kwao Ufaransa.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: