SIMBA KUJENGA VIWANJA VIWILI, HOSTELI KWA SH BILIONI 2.5

Jivunie kuwa mwana ludewa



Simba imepanga kujenga viwanja viwili vya mazoezi pamoja na hosteli katika uwanja wake ulio Bunju nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam.


Tayari ramani ya viwanja na hosteli imepatikana na Rais wa Simba, Evans Aveva amesema kiasi cha Sh bilioni 2.5 ndicho kitakachotumika.

“Uwanja huo ambao utakuwa na viwanja viwili, hosteli za wachezaji wa timu kubwa na ndogo  ambavyo vitabeba wachezaji 30 pamoja na ofisi,” alisema Aveva.


“Kampuni ya Envirolink Enivornment ndiyo itasimamia ujenzi huo.

source.salehe jembe
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: