MTANZANIA ATUPWA JELA MAISHA KWA MAUAJI AUSTRALIA

Mtanzania aishiye Melbourne,Australia,Charles Mihayo mwenye umri wa miaka 36,aliyekuwa akituhumiwa kwa mauaji ya binti zake wawili,amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Mihayo ametiwa hatiani baada ya mahakama kujiridhisha kwa ushahidi uliothibitisha kwamba aliwaua binti zake ambao ni Indiana aliyekuwa na umri wa miaka mitatu na Savannah aliyekuwa na umri wa miaka minne kwa kuwaua kwa kuwabana kwa mito ya kulalia na hivyo kukosa hewa. Waendesha mashtaka walisema kwamba, Mihayo alitenda kosa hilo baada ya kuingia kwenye mgogoro mzito na mama wa watoto aliyewahi kuwa mkewe kwa minajili ya kujilipiza kisasi. Akitoa hukumu hiyo jaji wa mahakama kuu ya Victorian,Lex Lasry alisema ugomvi na mkewe haikuwa sababu ya kujiaminisha kutenda kosa la mauaji na kushangazwa na namna mtuhumiwa alivyotumia nafasi ya ugomvi na mkewe wa zamani kuwaua watoto ili kupunguza machungu yak
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: