LICHA YA TAARIFA ZA KUTEMWA, KOCHA PHIRI AENDELEA NA MAZOEZI SIMBA

Pamoja na kuwepo na taarifa za ujio wa kocha mpya Simba, Patrick Phiri ameendelea na mazoezi ya kikosi hicho jijini Dar es Salaam. Phiri ameendelea kuinoa Simba licha ya kuwa na taarifa za kwamba tayari anatakiwa kufungasha virago. Katika mechi nane za Ligi Kuu Bara, Phiri ameshinda moja, sare sita na kapoteza mechi moja. Mserbia Goran Kouponovic anatarajia kutua nchini kesho kwa ajili ya kuingia mkataba na Simba.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: