CHADEMA YAWATAKA WENYEVITI WAPYA KUACHA UFISADI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wenyeviti wote waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kuacha tabia ya kutumia ofisi za serikali kujinufaisha wenyewe. Akizungumza katika mkutano uliofanyika jana Kimara Temboni Kata ya Msigani Naibu katibu mkuu Bara John Mnyika amewataka viongozi wote waliochaguliwa kupitia ukawa kutambua kuwa nafasi hizo zitumike katika kuwatumikia wananchi sio fulsa ya kufanya ufisadi na kuwanyanyasa watanzania. Katika hatua nyingine Mnyika amewashukuru wananchi wa eneo hilo kwa kuwapa fulsa ya kuwatumikia kwa miaka ijayo.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: