Kutokujiamini ni Janga Kubwa la Wanaume wa Kibongo Mbele ya Wanawake.

Bila hata kwenda mbali angalia Hizi Statement kadhaa za Wanaume Wasiojiamini: 1. Usimtambulishe Mkeo Utagongewa 2. Usioe mwanamke mzuri 3. Mwanamke mzuri hatulii kwenye ndoa 4. Usioe mwanamke aliekuzidi kipato 5. Usioe mchaga/muhaya 6. Usioe mwanamke aliekuzidi elimu 7. Kama wewe mfupi usitafute mwanamke mrefu HIVI KWA NINI HAMJIAMINI? Ukiangalia kwa wenzetu hii kitu ni tofauti sana ila hapa yaani ukidate mtu ambae hajiamini ni janga statement kama hizi hazimkauki mdomoni: 1. Sikuamini kabisa 2. I cant handle this relationship(Dude you cant handle her personality she is too smart) 3. You gat attitude(Noop ana vision ya hali ya juu wewe sio saizi yake. NA WANAKAGUA SIMU HAO KAMA WAPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI Kujiamini ni credit kubwa sana kwa mwanaume wa kisasa Hata ukiwa na ela kama hujiamini utaumwa ulcers
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: