KPAH SHERMAN KUWASILI ALASIRI TAYARI KWA KAZI YANGA SC
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Liberia, Kpah Sean Sherman anatarajiwa sasa atatua jioni ya Jumatano tayari kujiunga na klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam.
Awali, Sherman ilikuwa afike jana Dar es Salaam, lakini akakosa ndege ya kuunganisha mapema mjini Istanbul, Uturuki akitokea Cyprus na sasa atafika Saa 9:00 Alasiri, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment