Duh!! JAMAA ATUMIA ARV'S KIMAKOSA APOOZA MWILI

Mwanaume mmoja nchini Kenya amewashtaki katika mahakama kuu madaktari watano wa hospitali kuu Kenyatta kwa kumpima na kusema kuwa ana Virusi vya HIV halikadhalika kumpa dawa za kupambana na makali ya virusi vya ukimwi yaani ARV. Peter Mungai anadai kuwa alitumia dawa hizo kwa miaka mitano na zimemsababishia mwili wake kupooza. Anadai kuwa alienda katika hospitali nyingine na alipopimwa iligundulika kuwa hana virusi hivyo.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: