SHEIKH PONDA AACHIWA HURU, AKAMATWA KUJIBU KESI NYINGINE

Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam imeamuachia huru Sheikh Issa Ponda dhidi ya Kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi Self iliyokuwa inamkabili. Kwa mujibu wa Mwanasheria wa Serikali, Tumaini Kweka mbele ya Jaji, Augustino Shangwe alisema baada ya kupitia vifungu vyote mahakama imejiridhisha na kuona Sheikh Ponda hakuwa na hatia. Katika hatua nyingine, mara baada ya kuachiwa huru amekamatwa tena na kurejeshwa rumande kujibu kesi nyingine ya madai ya uchochezi iliyotokea Mkoani Morogoro ambayo nayo inamkabili
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: