HIKI NDICHO WALICHOKISEMA MAPROFESA WA UDSM KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUPEWA SHAHADA YA UDAKTARI.

Ni kama wiki moja sasa tangu kuenea kwa habari ya kua Diamond Platnumz atapewa shahada ya Udaktari katika chuo kikuu cha Mlimani. Baada ya taarifa hizo kuenea sana tumebahatika kupata mahojiano ya maprofesa wawili kutoka chuo cha Mlimani wakizungumzia ishu hii. Wote wawili wamekubali kua Diamond ni msanii mkubwa lakini hajafikia hadhi ya kupewa shahada ya heshima ya udaktari.Angepata tu endapo tu angefanya jambo ubwa na kusaidia jamii na kwamba kuimba na kupendwa na watu si kigezo kikubwa cha kupewa tuzo hizo. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: