‘Maalim’ aliyeoa bila mahari, na mwisho kuwaibia wake zake na kutokomea.
Hekaheka ya leo inahusu stori iliyopo mtaani kuhusiana na jamaa ambaye anajiita ‘Maalim’, ameshika sana dini na ametumia kivuli cha dini kulaghai wanawake, anawaoa na baadaye anawaibia na kuwatelekeza.
Ndoa ya mwisho ya Maalim imeisha na ametoroka na seti ya vito vya dhahabu vya mke wake, na stori iliyopo ni kuwa amekuwa akiwaibia wanawake zake na kutokomea navyo.
Credit:Millardayo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment