‘Maalim’ aliyeoa bila mahari, na mwisho kuwaibia wake zake na kutokomea.

Hekaheka ya leo inahusu stori iliyopo mtaani kuhusiana na jamaa ambaye anajiita ‘Maalim’, ameshika sana dini na ametumia kivuli cha dini kulaghai wanawake, anawaoa na baadaye anawaibia na kuwatelekeza. Ndoa ya mwisho ya Maalim imeisha na ametoroka na seti ya vito vya dhahabu vya mke wake, na stori iliyopo ni kuwa amekuwa akiwaibia wanawake zake na kutokomea navyo. Credit:Millardayo. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: