BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI LEO
BERNARD MEMBE AELEZEA SAKATA LA PEMBE ZA NDOVU
Katika hali iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania ni majibu kutoka kwa Serikali juu ya habari iliyotolewa na vyombo vya habari Dunia nzima na shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani kuwa Rais wa China alipokuja kwenye ziara nchini Tanzania alibeba kwenye ndege yake Pembe za Ndovu.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akijibu swali Bungeni mkoani Dodoma amesema maadui wana wivu na Tanzania ndio mana awataki mipango mingi tuliyokubaliana na China isifanyike kama Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo,mikopo nafuu na pia ujenzi wa vyuo mbalimbali vya ufundi na pia reli ya kisasa ya Tazara.
0 comments:
Post a Comment