AVEVA AMPA TANO NDUMBARO, ASEMA WAO NDIO WALIMTUMA

Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva, amesema kuwa bado wanaendelea kumuunga mkono Dk. Damas Ndumbaro kwa asilimia 100 juu ya sakata la makato ya asilimia 5 ya pesa za vilabu kutoka kwa wadhamini wa ligi kuu ya Tanzania bara. Aveva ametoa kauri hiyo ikiwa ni siku chache kupita baada ya Rais wa TFF Jamar Malinzi kuvitaka vilabu vya VPL kumpuuzia Ndumbaro ambaye alifungiwa miaka 7 kujihusisha na maswala ya soka Tanzania. Rais huyo ambaye aliingia madaraka akichukua nafasi ya mwenyekiti Ismail Aden Rage amesema kuwa wao ndiyo waliomtuma Ndumbaro kudai haki ya vilabu huku akiongeza kuwa watashirikiana naye kama kawaida katika masuala ya soka. “Kamati iliyoshughulikia suala hilo ni huru na kwa upande wetu Simba tupo mstari wa mbele kuhusu suala hilo na tunamsapoti, Tutaendelea kumtumia Ndumbaro kama kawaida kwani tunatetea haki yetu na tunapinga vikali makato ya asilimia tano ya mapato, Hakuna waraka wowote tuliopewa klabu kuhusu jambo
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: