TWITTER KUFUNGUA OFISI NCHINI HONG KONG
Mtandao wa kijamii wenye mashabiki kote Duniani hasa kwa watu maarufu unatarajia kufungua ofisi nchini Hong Kong mwanzoni mwa 2015 ili kuweza kuweka watuamiaji wake karibu hasa kwenye masuala ya masoko licha ya kupigwa marufuku kutumika nchini China tokea 2009.Pia kufungua kwa ofisi nchini Hong Kong itakuwa ni Ofisi ya tano tofauti na Marekani yaliyopo makao makuu ya kampni hiyo,ofisi nyingine zipo Singapore,Tokyo,Seoul and Sydney
0 comments:
Post a Comment