Njenje News blog: DEREVA TOYO sehemu ya 4 b
Basi sikua na jinsi yeyote ya kuendelea kuwa nae. zaidi ya kuondoka zangu....
Nilifika nyumbani na kumfikishia mzee wangu ujumbe kua
"mzee nimeshamwambia"
"sawa sawa..... Sasa jemsi?"
"ndio mzee?"
"kesho utakwenda kwa mjomba wako ngarenaro ukachukue ile pikipiki ulioitaka sawa?"
"aaaYaaa mzee unasema kweli?"
"ndio...naa utaamka asubuhi sana kama saa 1 kamili hivi sawa?"
"haina shida mzee"
"ok basi nishamaliza"
"asante baba.... maana napenda kweli toyo"
"mi si najua unapenda kufa?"
"aaaaaaa Mzeee mbona ivyo tenaa?"
"sasa kwani toyo haiui?"
"aah kwa mimi nitakua makini"
Basi Yalikua ni kama matani tu mimi na mzee wangu. kwani hua kuna saa zingine haziivi kabisaaa
BAADA YA SIKU HIO KUPITA
Niliamka asubuhi na mapema kisha nikanywa chai Afu fasta nikaondoka kuelekea kwa mjomba ili nikachukue toyo......
Nilipitia kwenye geti lakina rey ili anione tu... maana natamani kumuomba msamaha kwasababu siku ile haikua kusudio langu kumuambia vile.... Nilitamani kumpigia simu lakini nilikua naogopa, Hivyo nilirudisha simu yangu mfukoni na kuanza kuondoka...... Sasa kuinua macho na kuyatupia dirishani kumbe alikua ananichungulia bwana, Nilianza kujichekea mwenyewe tuu Maana kumbe na yeye hana hasira sana na mimi,
Nilipata nguvu ya kumpigia simu Lakini ni baada ya kumuona ananichungulia dirishani kwake....
Simu ilikua ikiita lakini haipokelewi
"trii trii.....triii triii......triii trii.....triii triii"
Ayaaa iliita mpaka ikakata na wala haijapokelewa, Nikamtumia meseji
"pokea basi nikuambie kitu"
Kisha nikawa naondoka taratibu huku nikiangali dirishani kama atachungulia tena...
Naona meseji haijibiwiii, Nilipiga tena kwa mara nyingine
Mara Akapokea kisha akawa kimya na mimi nikawa kimya maana sijui hata kubembeleza jamani....
Sasa naskia mehemo tuu lakini sauti sisikii.... Nikajikaza kiume tuu
"rey? naomba unisamee basi"
"mm unajua nyie wanaume hua mkipendwa mnajiskiaga sana.... yaani mnatuona sisi ni vichaa kuwapenda nyie si ndio?"
"nisamee basi rey... ila tati"
"sitaki kujua tatizo... ila ukitaka nikusamehe unijibu lile ombi langu"
"Duuu ndio ishakua kigezo?"
"wala tu sio kigezo... kwani nilikuambia kabla"
"ok ngoja basi kuna mahali niwahi chapu then nitakuja kukujibu"
"sawa nakusubiri basi"
"poa"
Nilifika kwa mjomba na kupiga hodi nyumbani kwake na kufunguliwa geti.... nilimkuta yupo na rafiki yake...
"shkamoo mjomba?"
"marahaba vp jemsi? mbona umechelewa mpaka pikipiki nimeshaiuza kwa huyu bwana hapa"
"Aaaayaaa mjombaaa ndio nini sasa?"
"ila mjomba si uliambiwa uje saa 1 kamili? sasa saa hizi saa 2 hii?"
Nilianza kukasirika kwakua hakua mkweli afu yupo kama ana tamaa
"daaahh sawa.. kwani huenda sio riziki yangu"
"ila usijali anko... kwani nimeuza hii na nitanunua nyingine ili upige kazi"
"daah ila umenivunja moyo kabisa mjomba"
"hio nitakayo nunua haina siku mingi ni wiki hii tu"
Mara yule alieuziwa na mjomba akadakia juu juu
"kwani wewe si dereva mzuri tu?"
Nikamjibu "ndio"
"ok sasa ukiendelea kusubiri hio ya mjomba wako? Unaonaje ukaanza na hii nilioinunua kwa mjomba wako? Maana mi mwenyewe bado sijapata dereva"
"aaahhh sio mbaya pia tena itakua poa mno"
"ok basi tutaongea vizuri kesho"
"sawa Lakini si uniachie kuanzia leo?"
"kijana mbona una haraka hivyo? pikipiki bado ipo tuuu"
"sawaaa mzee sasa nitakupataje hio kesho?"
"mimi kwangu ni pale shuleni tu"
"kwa upande gani?"
"huu wa huku kwenye bomba pale kwenye ile nyumba nyeupe pale"
"ooooo kumbe ndio pale?"
"sasa ile ndio nyumba yangu ile"
"sawa basi kesho saa 4 nitakuja ili tuongee"
"sawa kijana karibu tu usijali"
"Asante... sasa mjomba mi nawaacha kidogo"
"sawa ila wiki hii hii nitakuchukulia sawa mjomba?"
"sawa sawa"
Basi niliondoka pale huku nikiwa na hasira ya kuamshwa asubuhi subuhi duuu
Sasa kwakua nilimuahidi rey kua nikirudi nitapitia hapo kwao ili nimjibu.... Sasa nilifika na kugonga geti,
"naniii?"
ilikua ni sauti ya rey ikiuliza
"ni mimi jemsi"
Alifungua kisha nikaingia ndani kwao
"we baba ako yupo wapi?"
"si wameenda kazini"
"wote?"
"ndio"
"kwaio upo na nani jumba lote hili?"
"nipo na hausi geli tu"
"ulikua unafanya nini?"
"mmh mbona maswali mengi hivyo?"
"ok poa basi Nilikuja kukuona tu"
"kuniona vp tena? hebu njoo huku"
Alinivuta mkono hadi chumbani kwake
"sasa mbona huku ni chumbani kwako?"
"sasa we wataka chooni?"
"mmhh basi"
Mtoto alikua kavaa sketi flani nyekundu.... sasa saa ngapi hajaanza kuongea mineno hio duuu
"ivi sheby mbona upo kama sio wakiume vile?"
"kwanini?"
"ivi mi nina ubaya gani mpaka unichiti mbele za watu vile?"
"lakini si unisamee rey"
Sasa Kitendo cha kusema nisamehe tu Sijui mtoto aliuzungushaje mkono hadi shingoni na kunitupia kitandani.... sina hili wala lile mara mdomo nao ulifuata na kugusana na wakwangu...
"sasa reyyyymmhhhhhhhhhhhh mmhhh hhmmh hhgggmmm sssiiiijiiii"
"ssssiiiiiii jemsiiiiii leo usiniache kama kule gestiiiiiiii Aaaaaaaiiiiii gghhhaaa hhhaaa "
Mara mtoto akavua ile sketi na kubaki na chupi tuuuuuuu
"jemsiiiiii? Kazi kwako Leo wazazi hawapooooo mmmhhh ssiiii nnnhhmmm sssiiii aaaaaahhhh"
itaendeleaaaa,,,,,,
0 comments:
Post a Comment