Mkewe Ray alikamatwa katika supamaketi moja Mlimani siti akiiba matunda. Kisha akapelekwa mahakama ya kisutu na mahojiano yake na hakimu yalikuwa hivi:
Hakimu:Umeiba nini?
Mke wa Ray:Nimeiba mfuko wa machungwa
Hakimu:Ulikuwa na machungwa mangapi?
Mke wa Ray:ulikuwa na machungwa manne
Hakimu:Basi nakuhukumu ufungwe jela kwa muda wa siku nne.
Kabla Yule hakimu hajagonga nyundo yake kumaliza kesi Ray (mumewe) akasimama na kumuomba hakimu kama anaweza kupewa ruhusa ya kuzungumza. Hakimu akamruhusu kasha Ray akasema “Pia aliiba na mfuko wa mchele”


Jivunie kuwa mwana ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment