Wiki iliyopita Ray alienda kwa daktari wa saikolojia ya mahusiano kumuona daktari katika harakati za kutaka kuimarisha ndoa yake. Ray akaanza kuuliza cha kufanya
Ray:Dokta, nataka nimshike mke wangu sehemu ambayo itamfanya achanganyikiwe
Daktari:Ni rahisi sana, njoo na mkeo, tutamfanyia upasuaji wa kichwa, tutafunua kichwa chake kisha utagusa ubongo wake
Jivunie kuwa mwana ludewa
Blogger Comment
Facebook Comment