Jamaa alivyojichanganya katika usafiri wa daladala
Kuna jamaa 1 alipanda daladala mfukoni akiwa na shiling miatano tu! lakini daladala ilikuwa imejaa yaani walikuwa wamebanana ile mbaya, sasa imefikia wakat konda anataka hela alipofika kwa jamaa, jamaa anajibanabana huku anatoa hela mfukoni, jamaa… anampa hela konda kumbe sh.10000, jamaa akashangaa akasema asante mungu yaan kama maajabu, akachukua chenji na kurudisha uleule mfuko,kwa furaha jamaa akashukia kituo cha nyuma kabla ya kituo alichokua anenda. jamaa akatoa hela mfukon anatoa sh.500. kumbe jamaa wakat anatoa hela mfukon ilikuwa ni mfuko wa abiria wa pembeni yake alivyopewa chenji aliirudishia mfuko uleule.
Jivunie kuwa mwana ludewa
Blogger Comment
Facebook Comment