Mauaji tena!!! JAMAA AUAWA KWA KUPIGWA MAWE KISHA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUIBA NG'OMBE KWENYE ZIZI

ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania

Kutokana na pesa inavyoshika nafasi hapa Duniani ndivyo uaminifu unavyo zidi kupungua ukilinganisha na tukio lililo tokea hapa, nibaada ya majambazi waliokuwa wame pola pesa kiasi cha milioni 9 na kukimbiria maeneo fulani ikiwa miongoni walikuwa na lengo la kugeukana.

Kamanda wa Polisi Kinondoni anasema ‘December 11 2013 saa nane mchana maeneo ya Maringo roundaboutJaphet Mriga ambae ni Mwanajeshi wa JWTZ Lugalo akiwa na mwenzake ambae ni mfanyabiashara Abdul Zacharia, walikua wanatoka bank ya NMB Mlimani City ambapo Mwanajeshi huyu alichukua shilingi milioni tisa kwa dhumuni la kumpatia Zacharia ili amnunulie gari Zanzibar’

Mwili wa Jambazi alieuwawa akiwa na kofia ya kuendeshea pikipiki.

Pikipiki iliyotumiwa na majambazi

Mwanajeshi aliejeruhiwa. - See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2013/12/majambazi-wageukana-na-kupigana-risasi.html#more

Mwanamke Aliyetengeneza Nepi Ya Dawa Za Kulevya Na Kuivaa Alivyokamatwa.

Mwanamke huyu aliyeshawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti alikamatwa muda wiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa na kujazwa dawa za kulevya aina ya Cocaine. Picha Ziko Hapa.

Michelle Blassingale alikamatwa mwezi wa kwanza mwaka huu akijaribu kupita uwanja wa ndege wa Kennedy. Amehukumiwa miaka miwili jela.

- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2013/12/mwanamke-aliyetengeneza-nepi-ya-dawa-za.html#more

Mwanamme mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 30 ameuawa kikatili kwa kupigwa mawe na fimbo kisha mwili wake kuchomwa moto baada ya kutuhumiwa kuiba ng’ombe wawili kwenye zizi la mkazi wa kijiji hicho wenye thamani ya shilingi laki 8 katika kijiji cha Mwanima kata ya Sekebugoro wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Kihenya Kihenya alisema tukio hilo limetokea jana saa tisa na nusu mchana baada ya mwanamme huyo ambaye hakuweza kufahamika jina kabila wala makazi yake baada ya kudaiwa kuiba ng’ombe,wananchi walijichukulia sheria mkononi kwa kumshambulia kwa kumpiga fimbo na  mawe kisha kumchoma moto  na kusababisha kifo chake.
 Ni siku chache tu zimepita ambapo  mwanamme mwingine aliyefahamika kwa jina la Majura Mayumba (34) mkazi wa kijiji cha Negezi tarafa ya Ukenyenge wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga aliuawa kwa silaha za jadi baada ya kuiba  ng’ombe  mmoja mwenye thamani ya shilingi laki 5 katika kijiji hicho

Mwanamke huyu aliyeshawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti alikamatwa muda wiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa na kujazwa dawa za kulevya aina ya Cocaine. Picha Ziko Hapa.

Michelle Blassingale alikamatwa mwezi wa kwanza mwaka huu akijaribu kupita uwanja wa ndege wa Kennedy. Amehukumiwa miaka miwili jela.

- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2013/12/mwanamke-aliyetengeneza-nepi-ya-dawa-za.html#more

Mwanamke Aliyetengeneza Nepi Ya Dawa Za Kulevya Na Kuivaa Alivyokamatwa.

Mwanamke huyu aliyeshawahi kukamatwa mara nane kwa makosa tofauti alikamatwa muda wiki chache zilizopita akijaribu kuingiza dawa za kulevya nchini Marekani kwa njia ya kuvaa nepi ya watoto iliyotengenezwa na kujazwa dawa za kulevya aina ya Cocaine. Picha Ziko Hapa.

Michelle Blassingale alikamatwa mwezi wa kwanza mwaka huu akijaribu kupita uwanja wa ndege wa Kennedy. Amehukumiwa miaka miwili jela.

- See more at: http://onelovetz.blogspot.com/2013/12/mwanamke-aliyetengeneza-nepi-ya-dawa-za.html#more
 
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: