MATUKIO KATIKA PICHA KUFUNGA MAFUNZO YA UDEREVA WILAYANI LUDEWA

njenje


             wanafunzi wa mafunzo ya pikipiki kwa wilaya ya ludewa mjini



 mbunge wa jimbo la ludewa Mh.deo filikunjombe akiongea na              wahitumu        katika    kata ya ludewa mjini


wahitimu wa kata ya ludewa mjini wakimshangilia mbunge wao
 katika ni mbunge wa jimbo la ludewa deo filikunjombe ,kushoto ni katibu wake na kulia ni mkurugenzi wa veta kanda ya kusini bi.monika mbele katika kata ya mlangali


wahitimu wa mafunzo katika kata ya mlangali wakimsikiliza mbunge wao
 wanafunzi wakimpokea mgeni rasmi ambaye ni mh. deo filikunjombe mbunge wa jimbo la ludewa mbele ni mkugenzi wa veta kanda ya kusini


                                  wakakaribishwa meza kuu 




            wanafunzi wa veta wakimsubili mgeni rasmi katika kata ya mlangali









         hata wazee nao walikuwepo kwenye mafunzo ya udereva wa pikipiki


 
mgeni rasmi akigawa vyeti pamoja na reseni kwa wagitimu katika kata ya                 lugarawa







kawaida yao wanamuida jembe mbunge wa jimbo la ludewa akiongea na wahitimu katika kata ya lugarawa




 mkuu wa chuo cha veta songea akiwasalimia wageni waalikwa







 

wanafunzi katika kata ya lugarawa wakimsikiliza mgeni rasmi

kamanda wa usalama barabarani mkoa wa njombe Ndugu maro chacha akifuatilia zoezi kwa makini

Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh.Deo Filikunjombe amewahakikishia wananchi
wake kuwa na matumaini ya ujenzi wa chuo cha VETA, katika kijiji cha
shaurimoyo kata ya Lugarawa, pamoja na kuwaomba madereva kuwa makini wawapo
barabarani.

Akizungumza katika mikutano ya hadhara, katika kata za lugalawa,mlangali ,
milo pamoja na ludewa, katika sherehe za kuitimisha mafunzo ya udereva wa
muda mfupi, kutoka chuo cha veta songea, kwa kushirikiana na ofisi ya
mbunge wa jimbo la ludewa pamoja na kugawa vyeti pamoja na leseni katika
sherehe hizo.


Chuo cha veta tawi la songea  kinajihusisha na utoaji wa mafunzo kwa lika zote
kwa kozi mbalimbali kama vile edereva wa muda mfupi na muda mrefu,ufundi wa
magari ,ufundi wa nyumba ,ufundi wa umeme,ushonaji,utengenezaji wa sabuni
pamoja na batiki


Filikunjombe amesema, Serikali imeamua kuanza  ujenzi huo kutokana na
umuhimu wa wananchi wa ludewa, ili  kupata fursa ya kujifunza mafunzo
mbalimbali kutoka chuo cha VETA

Pia amewasisitiza wahitimu wa mafunzo hayo kutoka chuo cha veta songea kuwa
makini wawapo barabarani kwani anawategemea katika shughuli mbalimblia hasa
katika msimu huu wa kuelea uchaguzi mkuu


Naye mkurugenzi wa VETA kanda ya mikoa ya kusini Bi.Monika Mbele,
amewahakikishia wananchi wilayani  wa wilaya ya ludewa  kwa uvumilivu wao
tangu walipotangaziwa kuanza kwa ujenzi wa chuo cha veta katika kata ya lug
arawa,

ujenzi huo unatarajiwa  utaanza ujenzi hivi karibuni, na hatua mbalimbali
za ujenzi zimeshaanza ikiwa ni pamoja na ramani ya majengo na kuweka mipaka
ya chuo ambapo kitajengwa.

kwa upande wa kamanda wa kikosi cha barabarani Mkoa wa Njombe Maro Chacha
amewasisitiza wahitimu hao kufuata sheria za na alama za barabarani ili
kupunguza ajari za makusudi wazipatazo madereva wa PIKIPIKI


sherehe hizi zilifanyika katika kata za lugarawa ,mlangali ,milo ,pamoja na ludewa  na khitishwa na mbunge wa jimbo la ludewa Mh.Deo Filikunjombe  sehemu zote


Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: