ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania
WAFANYABIASHARA WAKIENDELEA NA KAZI YA KUFANYA BIASHARA NA HAPA WAPO KUPANGA NGUO
Haya ni Maeneo Ambayo Yanatakiwa Kubomolewa na Kupangwa Upya Kulingana
na Biashara Zao Ikiwemo Biashara ya Vyakula[Mama ntilie]na Wauza Nguo za
Mitumba.
Hivi Karibuni Serikali ya Mtaa wa Gwivaha Ilitangaza Kuvunjwa Kwa Mabanda Yote Yaliyopo Katikati Ya Eneo Hilo na Hayatumiki Lakini Hadi Sasa Hakuna Utekelezaji wowote
Hivi Karibuni Serikali ya Mtaa wa Gwivaha Ilitangaza Kuvunjwa Kwa Mabanda Yote Yaliyopo Katikati Ya Eneo Hilo na Hayatumiki Lakini Hadi Sasa Hakuna Utekelezaji wowote
0 comments:
Post a Comment