ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania
HIVI NDIVYO UJENZI ILIPO ISHIA HADI SASA |
VIBANDA VINGINE HAVIAJAANZA HATA KUJENGWANA MISINGI PAMOJA NA MATOFALI YA WAFABIASHARA WILAYANI LUDEWA |
Halmashuri
ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imesema moja ya sababu ya
kutoendelea kwa ujenzi wa vibanda vya biashara
katika eneo la uwanja
wa mpira wa miguu wa Halmashauri hiyo,
ni kutafuta uwezekano wa
kujenga majengo ya kisasa, tofauti na
ujenzi uliyopo kwa sasa unaoendelea kwa vibanda kukosa hadhi
.
Akizungumza na njenje news blo Ofisini kwake Mkurugenzi wa
Halmashauri hiyo William
Waziri, alisema
lengo la kujenga
majengo ya kisasa ni kuendana na waka ti na kuwavutia
wafanyabiashara wengi waweze kufanya biashara katika majengo
hayo ikiwa kwa sasa halmashauli hiyi inakabiliwa na uwekeza
mkubwa wa migodi ya madini ya chuma na liganga.
"tumesimamisha ujenzi huo ili kila mwananchi aweze kuju ni aina
gani ya vibanda vinavyotakiwa kwa sababu tunataka mabadiliko
katika ilaya ili twende na wakati
Pia
aliongeza kuwa vibanda hivyo ni lazima viendane na wakati na pia
kufuatia uwekezaji mkubwa wa migodi ya madini ya chuma na liganga .
Pia waziri
alioongeza kuwa kufuatia malalamiko ya mgogoro wa vibanda hivyo
unatokana na uelewa mdogo wa wafanyabiashara wilayani
hapa.
na kwa upange wao wafanyabiashara walilalamika kwa kuto tendewa haki na halmashauli ya wilaya kwa kuto kuwasikiliza
pia waliongeza kuwa kuna ugomvi mkubwa baina ya halmashauili na wafanyabiashara uliosabishwa na ushuru wa vibanda katika maeneo ya sokoni na stand
waliongeza kuwa hawahui ni kwa nini wanatozwa ushuru wa vibanda ikiwa wamevijenga wenyewe na kupangishiwa na halmashauli bila ya wo kujijua...
0 comments:
Post a Comment