AIBU: BOB JUNIOR ADAIWA KUVAA NGUO ZA MKOPO....!

ninakuhabarisha kutoka ludewa njombe tanzania
Msanii wa Music ambaye pia ni Producer wa Muziki na Mmiliki wa Studio ya Sharobaro Records, Bob Junior ameingia katika Aibu Ingine baada ya Duka Moja la nguo Kujitokeza na Kudai Linamdai Msanii huyo Kiasi cha Shilingi 180,000 za Kitanzania ..Muuzaji wa Duka hilo Amesema  Bob Huwa anaenda hapo kuchukua nguo ambazo huwa tunamkopesha mpaka sasa deni limefikia kiasi hicho na tukimtafuta anapiga chenga kulipa..
Gazeti moja la hapa bongo limejaribu kumtafuta Bob kumuuliza kuhusu hiyo issue akasema yeye huwa anachukua nguo hizo kwa ajili ya kulitangaza hilo duka so hadaiwi na mtu....
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: