Kwa mara ya kwanza nashuhudia maajabu kama haya, ambapo mtu huyu
anayefahamika kama Kann Trichan raia wa Thailand, akikaanga kuku kwenye
mafuta ya moto yenye joto la degree 480 kwa kutumia vidole vyake.
Inasemekana kuwa jama huyu alianza shughuli hii ya kukaanga kuku kwa kutumia mikono baada ya kumwagikiwa mafuta ya moto na kutodhulika na mafuta hayo. Hivyo kupitia maajabu haya bwana Kann amepewa jina la "Superhand" yani mikono imara. Tazama video yake hapa..

0 comments:
Post a Comment