Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akimkabidhi zawadi ya ngao Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake,
Alfonso Lenhardt (kulia) kwa ushirikiano wake aliutoa kwa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa uongozi wake nchini. Wapili kushoto
ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil,
na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi Malemi. Waziri
Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo
katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam.endelea...........................
Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akitoa maelezo mafupi ya kumshukuru Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake,
Alfonso Lenhardt (kulia) kwa ushirikiano wake aliutoa kwa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa uongozi wake nchini. Wapili kushoto
ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil,
na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi Malemi. Waziri
Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo
katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
(katikati kushoto) akiwa na Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda
wake, Alfonso Lenhardt (katikati kulia) pamoja na Watendaji Wakuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika hafla fupi ya kumuaga
balozi Lenhardt. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara
yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
(kushoto) akiteta jambo na Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda
wake, Alfonso Lenhardt kabla ya hafla fupi ya kumuaga balozi huyo aliyemaliza
muda wake wa uongozi nchini. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu
wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara
hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi
(wa pili kulia waliokaa), Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda
wake, Alfonso Lenhardt (wa pili kushoto waliokaa), Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia), Naibu Balozi wa
Marekani nchini, Virginia Blaser (kushoto), Naibu Katibu Mkuu wa wizara
hiyo, Malimi Malemi (wane kulia waliosimama) pamoja na Watendaji Wakuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya hafla fupi ya kumuaga Balozi Lenhardt. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji
Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano
wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Picha na Felix Mwagara, Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KUTOKA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 comments:
Post a Comment