
MSANII
wa sinema za Kibongo,Zuwena Mohemed‘Shilole ameandikiwa barua yenye
ujumbe mzito na mtoto wake aitwaye Joyce akimuasa mama yake kuwa care na
kila kitu anachokifanya.
Endelea...................

Shilole
ameipost barua hilo kupitia matandao wa instagaram huku akiandika
…Asante mwanangu sijui umefikiria nn? Dah mungu nikuzie wanangu coz ndo
faraja yangu. Hiii barua nimeikuta kaniwekea harafu yy kaishaondoka
shule miss u my baby girl soma kwa uwezo wako wote mi natafuta kwa ajir
yenu….

Baadhi wa watu wakitoa maoni yao kuwa ni barua nzuri yenye ujumbe mzuri hasa kwa mtoto mdogo kuandika maneno mazito kama hayo.

Mtoto wa Shilole

0 comments:
Post a Comment