Kivazi cha Nick Minaj mmmh!

Raper Nick Minaj ambaye anawekwa kwenye list ya wasanii wa hiphop duniani  wanaongiza mkwanja mrefu na jarida maarufu duniani la Forbes ametokelezea na kivazi cha utata katika kipindi cha Ellen DeGeneres alipokwenda kutambulisha ngoma yake mpya 'Minajesty'.

Nick alitinga suruali ya leather na kikoti kinanyoonyesha nido zake maana ndani hakuvaa jeki lol! 


Jarida la Forbes limetoa list ya wasanii wa hiphop wanaongiza mkwanja mrefu zaidi huku P .Didy akiongoza kwa mwaka 2012/2013.
Cheki  list iliyotolewa.

1.Diddy - $50million
2. Jay Z - $43million
3. Dr Dre - $40million
4. Nicki Minaj - $29million
5. Birdman - $21million
6. Kanye West - $20million
7. Lil Wayne - $16 million
8. Wiz Khalifa - $14million
9. Ludacris - $12 million
10. Pitbull - $11million
Continue...


11. Drake - $10.5million
12. Snoop Lion - $10million
12. Eminen - $10 million
14. Kendrink Lamar - $9million
14. Pharrel Williams - $9million
14. Macklemore & Ryan Lewis $9 million, tie
17. Swizz Beatz - $8.5million
18. Tech N9ne - $7.5 million
19. 50cent - $7million
20. Lil Jon - $6million
20. Rick Ross - $6million
20. Mac Miller - $6 million
20. Young Jeezy - $6 million
20. Questlove - $6 million
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: