Mahakama yamwachia huru bosi wa Sangsung



Bosi wa Samsung, Lee Jae-yong aliyeachiwa na mahakama ya Rufaa
Mrithi na tajiri wa Kampuni ya Simu za Samsung, Lee Jae-yong ameachiwa huru na mahakama ya Korea kusini baada ya mahakama hiyo kumuondolea adhabu ya miaka mitano jela kufuatia mashtaka ya kumuhonga aliyekuwa rais wa nchi hiyo.
Katika mahakama ya rufani, mahakama hiyo ilikubaliana na baadhi ya mashtaka  lakini ilitumia busara kumwachia kutokana na nafasi yake ya utendaji.
Hata hivyo, Mahakama ya Juu ya Korea Kusini inatarajiwa kukatia rufaa uamuzi huo.
Kesi hiyo imekuwa yenye mvuto kwa umma kufuatia hasira iliyoongezeka dhidi ya kampuni kubwa nchini humo zinazojulikana kama ‘chaebols’












Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: